Naweza kuhesabu namba
Here's a Swahili counting song...
Naweza kuhesabu namba
I Can Count Numbers
Counting Song
Counting Song
(Swahili)
(English)
Naweza kuhesabu namba!
Moja, mbili, tatu,
Moja, mbili, tatu.
Nne, tano, sita,
saba, nane, tisa, kumi!
Nne, tano, sita,
saba, nane, tisa, kumi!
Vidole vya mikono yangu,
jumla yake kumi!
Vidole vya mikono yangu,
jumla yake kumi!
Huku tano na huku tano,
jumla yake kumi.
Huku tano na huku tano,
jumla yake kumi.
I can count numbers!
One, two, three,
One, two, three,
Four, five, six,
seven, eight, nine, ten!
Four, five, six,
seven, eight, nine, ten!
The total of my fingers
equals ten!
The total of my fingers
equals ten!
Here five and here five,
equals ten.
Here five and here five,
equals ten.
Notes
In the first line, some people use NAWEZA (I can), and some use NAJUA (I know how to) - count numbers.
Thanks and Acknowledgements
Many thanks to Consolata Kangonga Onarheim for contributing and translating this song for us!